Picha: Kikosi cha Zimamoto Jijini Dar es Salaam Chatoa Mafunzo kwa Wanafunzi wa Secondary Unknown 11:28 Add Comment Edit ‘’Tayari tumeuzima’’ walisikika wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania jijini Dar-es-Salaam baada ya kufanikiwa kuuzima moto kwa... Read More
Video: Gwajima Amjibu Slaa, Amuonya Asitumike Unknown 10:59 Add Comment Edit Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejitokeza leo na kujibu tuhuma zilizotolewa dhidi yake na aliyekuwa Katibu Mkuu w... Read More
New Audio: Isabella- Sauti Sol Download na Usikilize Bureee Unknown 10:46 Add Comment Edit Sauti Sol ni kundi la muziki kutokea Kenya wametuletea video yenye Lyric ya nyimbo yao mpya waliyoipa jina la Isabella Read More
Waandishi wawili wa vitabu matatani Unknown 21:55 Add Comment Edit Polisi nchini Ufaransa imewakamata waandishi wawili waliokuwa wakijaribu kuidanganya serikali ya Morocco. Wanatuhumiwa kutaka kupewa kiasi... Read More
Obama Aongoza Kumbukumbu ya Katrina Unknown 21:54 Add Comment Edit Rais wa Marekani Barack Obama imehudhuria hafla ya kumbukumbu uharibifu katika mji wa New Orleans uliosababishwa na kimbunga Katrina miaka... Read More
Kamati Mpya ya Miss Tanzania Yawekwa Wazi Unknown 21:50 Add Comment Edit Baada ya kufunguliwa kwa mashindano ya kumtafuta Miss Tanzania na Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), Kamati ya Maandalizi ya Michuano ... Read More
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Imebaini Majina Zaidi ya 52,000 ya Waliojiandikisha Zaidi ya Mara Moja Kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Unknown 21:46 Add Comment Edit Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanikiwa kubaini majina ya jumla ya watu 52,000 waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwenye daftari la ... Read More
NEC Yasema Hakuna Mtu Anayezuiwa Kuangalia Uchaguzi Mradi tu Atimize Vigezo. Unknown 21:42 1 Comment Edit Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasema haijapokea barua yoyote toka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC). Yasema hakuna mtu anayezuiwa kuangalia... Read More
Mamlaka ya Usafiri wa Anga,TCAA Yakanusha Kupiga Marufuku Matumizi ya Helikopta Katika Kampeni. Unknown 21:37 Add Comment Edit Mamlaka ya Usafiri wa Anga, TCAA,yakanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kwamba imepiga marufuku matumizi ya helikopta k... Read More
Breaking News: Familia Yateketea kwa Moto Dar Unknown 21:33 Add Comment Edit Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam, mashuhuda wamethibitisha. ... Read More
Mbowe Akata Rufaa Mahakama Kuu Dhidi ya Hukumu Yake Unknown 21:30 Add Comment Edit Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe amekata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa dhidi yake Julai, mwaka huu, na kumtoz... Read More
Marufuku Kupeana Mikono Dar Unknown 08:12 Add Comment Edit Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewataka wakazi wa jijini hilo kuchukua hadhari za kiafya ikiwamo kuacha kusalimiana kwa k... Read More
Anna Mghwira Mgombea Urais ACT-Wazalendo Unknown 08:09 Add Comment Edit Hatimaye Chama cha ACT – Wazalendo kimempitisha mwenyekiti wake, Anna Mghwira (56) kuwania urais baada ya mshauri wake, Profesa Kitila Mku... Read More
Orodha ya Majina ya Wanachama wa Chadema Walioteuliwa na Chadema Kugombea Ubunge Unknown 10:11 Add Comment Edit CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CHADEMA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE ... Read More
Dar Yakumbwa na Kipindupindu Unknown 09:38 Add Comment Edit Ugonjwa wa kipindupindu umeingia Dar es Salaam na kusababisha watu wawili kupoteza maisha na wengine 26 kulazwa katika hospitali za Mwanan... Read More
Video: Kamati ya Uchaguzi CCM Hadharani Unknown 08:57 Add Comment Edit Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kamati ya wajumbe 32 mahususi kwa ajili ya kempeni za Uchaguzi Mkuu 2015 chini ya Mwnyekiti Abdulrah... Read More
Oscar Pistorius Kuachiwa Ijumaa Ya Wiki Hii Unknown 08:24 Add Comment Edit Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp. Oscar Pistorius akiwa mahakamani wakati wa kesi yake. Mwanariadha ... Read More