Rais wa Marekani Barack Obama imehudhuria hafla ya kumbukumbu uharibifu katika mji wa New Orleans uliosababishwa na kimbunga Katrina miaka...
Read More
Home / Kimataifa
Showing posts with label Kimataifa. Show all posts
Showing posts with label Kimataifa. Show all posts
Oscar Pistorius Kuachiwa Ijumaa Ya Wiki Hii
Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp. Oscar Pistorius akiwa mahakamani wakati wa kesi yake. Mwanariadha ...
Read More
Rais Obama Kesho Anatarajia Kufunga Anga Ya Kenya kwa DakIKA 50
Rais wa Marekani Barack Obama anatarajiwa kuwasili Kenya siku ya Ijumaa Kenya itafunga anga lake kwa muda wa dakika 50 kufuatia ujio wa...
Read More
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Kukanusha Habari za Uzushi Zinazosambazwa
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Tanzania unakanusha madai ya taaarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Balozi wa ...
Read More
Al Shabaab Waua Polisi 25 Kenya
NAIROBI, KENYA KUNDI la wana mgambo wa Al Shabaab la Somalia, linadaiwa kuwaua polisi 25 wa Kenya jana. Inaelezwa kuwa wanamgambo hao w...
Read More
Maajabu ya Dunia: Kiazi Mbatata kinazuia Mimba
Msichana mmoja nchini Colombia ametoa kubwa na kali ya mwaka baada ya kukizamisha kiazi mbatata sehemu zake za siri na kiazi hicho kuanza...
Read More
Balozi wa Marekani Ashambuliwa Usoni kwa Kisu Kisa Kizima hiki Hapa
Balozi wa Marekani nchini Korea Kusini ameshambuliwa kwa kisu usoni na katika kifundo cha mkono wake na mtu mmoja ambaye alikuwa akipiga ...
Read More
Chanjo Mpya ya HIV Yatoa Mafanikio
Kwa mujibu wa ripoti ya Wanasayansi nchini Marekani, mbinu mpya ya chanjo imeonekana kuwakinga nyani dhidi ya virusi vya HIV. Kwa kawai...
Read More
Ripoti Moja Imebaini Dola Millioni 14 za Kugharamia Vita Dhidi ya Ebola Nchini Sierra Leone Hazijulikani Zilipo.
Ripoti moja imebaini kwamba karibia dola millioni 14 za kugharamia vita dhidi ya ebola nchini Sierra Leone hazijulikani zilipo. Mkaguzi...
Read More
Serikali ya Kenya Imepiga Marufuku Magari Yaliyosajiliwa Tanzania Kupakia au Kushusha Watalii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Jomo Kenyatta (JKIA)
Kwa mara nyingine Serikali ya Kenya imepiga marufuku magari yaliyosajiliwa Tanzania kupakia au kushusha watalii kwenye Uwanja wa Ndege w...
Read More
Rais Mpya wa Zambia Aapishwa
Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu, ameapishwa baada ya kumshinda mwenzake kwa kura chache. Bwana Lungu aliwaambia maelfu ya wafuasi wake...
Read More
Vurugu Zaibuka Upya Donetsk
Kwa uchache watu 13 waliuawa katika shambulio dhidi ya gari katika mji wa Donetsk, Alhamisi Januari 22 mwaka 2015. Watu thelathini na ...
Read More
Serikali Yakana Kuwaua Waandamanaji DRC
Serikali inasema kwamba walinzi wa maduka binafsi ndio waliowaua waandamanaji Serikali ya jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekanusha ...
Read More
Waziri Awaomba Radhi Wanafunzi Kenya
Waziri wa usalama nchini Kenya Joseph Nkaissery amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi wakati ...
Read More
Matokeo ya Uchaguzi wa Rais Nchini Zambia Kutangazwa Hivi Punde..
Matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Zambia yako katika hatihati ya kutangazwa licha ya tume ya uchaguzi kusema yatatangazwa kama ilivyopang...
Read More
Maajabu ya Dunia: Mtu Mmoja Aweka Amana Kilo 226 za Sarafu Benki
Mtu mmoja aliweka amana ya sarafu kilo 226 benki , je, atakuwa mteja wa kipekee? Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 81 alichukua kiasi cha ...
Read More
Wanne Wauawa Kongo
Watu wanne wauawa kwenye maandamano nchini Kongo. Watu wanne walipoteza maisha akiwemo askari wawili kwenye mji mkuu wa Kongo Kinshasa ...
Read More
Zambia Wafanya Uchaguzi Mdogo wa Urais
Wapiga kura nchini Zambia wanaelekea kwenye vituo vya kupiga kura katika uchaguzi wa urais uliosababishwa na kifo cha Michael Sata mwaka ...
Read More
Utafiti: Idadi Kuu Haishiriki Ngono Japan
Asilimia 50 ya watu wazima nchini Japan hawashiriki katika tendo la ngono kulingana na utafiti, swala linalosababisha kupungua kwa idadi ...
Read More
Vurugu Zatanda kumpinga Rais Kabila DRC
Polisi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, wamefyatua risasi hewani ili kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamekusanyika katika mji ...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)