Mtu mmoja aliweka amana ya sarafu kilo 226 benki , je, atakuwa mteja wa kipekee?
Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 81 alichukua kiasi cha dola 816 ikiwa ni baada ya kutunza sarafu zake benki kwa muda wa miaka 65 na sarafu moja ilikuwa na thamani ya euro 539 kwenye benki ya nyumbani kwao.
Ira Keys kutoka Slaton jimboni Texas alikiambia chombo cha habari cha KCBN kuwa aliacha kutumia sarafu zake ovyo mwaka 1952 akiwa na umri wa miaka 17 baada ya kupewa ushauri na baba yake kuwa, “lolote ufanyalo mwanangu tunza pesa.”
Mr Keys alisema kuwa” wakati ninaanza kutunza sarafu zangu mwaka 1952 sikuwa na pesa nyingi hivyo niliendelea kutunza sarafu kidogo kidogo na nikaweza kuokoa sarafu zangu kwa matumizi yasiyo na msingi.
Baada ya sarafu zangu kufikisha uzito wa kilo 226 nilimuita mfanyakazi wa benki kuja kuzichukua na tulifuatana hadi kwenye benki ya mjini Slaton na tulitumia muda wa saa moja kumaliza kuhesabu sarafu zote.
Wakati mmliki wa binafsi wa tawi la benki hiyo akimkabidhi amana Keys alizungumzia amana hiyo ya kuvutia kwa kusema tunachukua sarafu kwa kukutengenezea amana.
Unaweza kuona ni kitu cha ajabu kutokea lakini yeye ni kama wewe,mimi si kuokota sarafu hizi kutoka juu bali, “mtu huyu ilimchukua miaka mingi kukusanya hizi sarafu na kuzitunza na imekuwa ni ajabu.”
Cha kushangaza ni kwamba wakati analeta sarafu hizi si zote zilikuwa senti lakini amekubali amana yake na sidhani kama itatokea tena nikatoa kiasi cha amana kama hiki.
0 comments:
Post a Comment