Breaking News: Rais Kikwete Atangaza Baraza la Mawaziri Jipya Orodha Kamili hii Hapa

Ikulu imeitisha mkutano wa ghafla na waandishi wa habari muda huu na mkutano ukiwa na lengo kubadilisha baraza la mawaziri
 Wafuatao ndio waliochaguliwa upya katika Baraza la Mawaziri hivi punde 

MAWAZIRI
George Simbachawene- Nishati na Madini
Mary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na Uratibu
Harrison Mwakyembe - Afrika Mashariki. 
Wiliam Lukuvi - Ardhi Nyumba na Makazi
Steven Wassira - Kilimo Chakula na Ushirika
Samwel Sitta - Uchukuzi
Jenista Mhagama - Sera na Uratibu wa Bunge

Manaibu Waziri
Steven Masele -Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
Angellah Kairuki - Ardhi Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu- Katiba na Sheria
Anna Kilango- Elimu
Charles Mwijage - Nishati na Madini
Christopher Chiza- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment