Breaking News: Kimbunga Chaua Wawili, 30 Wajeruhiwa Kisiwani Goziba, Bukoba

Watu wawili wamefariki dunia baada ya kimbunga kupiga katika Kisiwa cha Goziba na kusababisha baadhi ya mitumbwi kupinduka katika Ziwa V...
Read More

Wabunge Wamjia Juu Waziri wa Fedha Saada Mkuya Wataka Afukuzwe Kutokana Kukiuka Katiba

Bunge limeendelea kuwa moto kwa viongozi wakati wabunge wakiwalipua mawaziri, huku wakimtaka Waziri wa Fedha, Saada Mkuya kufukuzwa kuto...
Read More

Picha 15: Baba yao P Square Alifariki Nov 2014, Kazikwa Jana Jan 30, 2015.

Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 ...
Read More

Serikali Imewaomba Radhi Wananchi Waliokumbwa na Kipigo kutoka kwa Polisi katika Maandamano ya (CUF)

Serikali ya Tanzania imewaomba radhi wananchi wote waliokumbwa na kadhia ya mabomu na vipigo kutoka kwa polisi katika maandamano ya Chama...
Read More

Mbatia: Jeshi la Polisi Lifanyiwe Marekebisho ya Kimfumo ili Kuboresha Utendaji Wake

Serikali imeshauriwa jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake ambao kwa sasa unalalamikiwa kwa sehemu...
Read More

Wafuasi 30 wa CUF Wapata Dhamana Kisutu

Wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi CUF wanaokabiliwa na    mashtaka matatu ya kula njama na kukaidi  amri halali ya polisi na kufanya maa...
Read More

Halima Mdee Amewalipua Chenge na Idd Simba Kuhusu ATCL, UDA, na PRIDE

Mbunge wa Kawe Halima Mdee amewataja baadhi ya Viongozi katika kashfa mpya ya ATCL, UDA na PRIDE. Ni katika suala la mikataba mibaya ya ...
Read More

Zitto Kabwe Ailipua Airtel Bungeni Dhidi ya TTCL

Hatimae jioni hii bunge limepata taarifa rasmi ya umiliki wa share za TTCL asilimia 35 kwa Airtel. Sasa muda umewadia wa ukweli kujulika...
Read More

Lil Wayne Aishitaki Cash Money

Rapa Lil Wayne amefungua mashtaka dhidi ya rekodi lebo ya Cash Money, akiituhumu kuidai dola milioni 51. Kwa mujibu wa kesi hiyo, Lil W...
Read More

Gonola Akanusha Kujitoa Uraisi FIFA

Gwiji wa soka kutoka nchini Ufaransa, David Ginola amekanusha taarifa za kujiondoa kwenye kinyang’anyoro cha urais wa shirikisho la soka ...
Read More

Crouch Akataa Kurejea London Kujiunga na Bosi Wake

Mshambuliaji kutoka nchini England, Peter James Crouch amezima ndoto za aliyekua meneja wake Tony Pulis za kutaka kumuhamisha huko Stoke ...
Read More

Murray Afika Fainali 2015 Australian Open

Andy Murray kutoka Uingereza amefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya michuano ya Australian Open baada ya kumshinda mpinzani wake ...
Read More

Taswira Kutoka Bungeni Dodoma ...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akielezwa jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. Willia...
Read More

Wafuasi 30 wa Prof Ibrahim Lipumba Wasomewa Mashataka

Wanachama 30 wa chama cha wananchi (CUF) pamoja na  naibu mkurugenzi wa oganaizesheni, uchaguzi na bunge Shaweji Mketo na mkurugenzi wa m...
Read More

Pinda Abanwa Kuhusu BVR, Vitambulisho vya Taifa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo amebanwa bungeni kuhusu mkanganyiko uliopo katika mpango wa uandikishwaji wa daftari la wapigakura kutumi...
Read More

Lipumba Agonganisha Mihimili Yote ya Nchi

Mjadala kuhusu sakata la polisi kumpiga na kumtia mbaroni Profesa Ibrahim Lipumba jana ulikuwa mkali, lakini uliweka bayana kugongana kw...
Read More

Chama cha ACT, Tanzania Yatoa Taarifa kwa Umma Juu ya Kudhalilishwa Lipumba

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, CHAMA cha Alliance For Change and Transparance( ACT- Tanzania.)kiki zingatia msingi wa utu na uzalendo ...
Read More

Club Olimpia ya Sinza Mori Yawaka Moto

Baa ijulikanayo kwa jina la CLUB OLIMPIA iliyopo eneo la SINZA MORI jijini Dar es salaam imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Huku cha...
Read More

Shule Binafsi Zapigwa Stop Na Serikali Kurudisha Wanafunzi Nyumbani Wasiofikia Wastani

Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, imezipiga marufuku shule binafsi  kuwafukuza ...
Read More

Breaking News: Prof. Lipumba Hali Yake Tete Akimbizwa Hospitali

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya UN Clinic ya Kinondoni, Dar, baada ya presha kushuka akiwa makao mak...
Read More

VIDEO: Asha Bakari Makame, CUF Hata Mshinde Vipi Hamatoingia Ikulu....

Akizungumza na watu wa mikoa miwili ya Pemba Gombani ya Kale Asha Bakari mwakilishi wa kuteuliwa katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar a...
Read More

Dr Slaa Alaani Kupigwa, Kuteswa na Kukamatwa Professor Lipumba !!..

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amelaani vikali unyama aliofanyiwa Mwenyekiti wa CUF Professor Ibrahim Lipumba hapo jana. Dr Sla...
Read More