Breaking News: Mwigulu Nchemba Akanusha Kudanganya Umri Wake Asema Wanamchafua Kisiasa Wapinzani..

Kutokana na kusambaa kwa taarifa kwamba Mwiguru Nchemba maedanganya umri wake. Msaidizi wake ameweka bayana kwamba, vcheti kilichosambazwa kilikuwa na makosa ya uandikwaji (Typing error) kitu kinachofanya aonekane ana umri tofauti na vyeti vyake.

Anadai makosa hayo yamebadilishwa muda mrefu, wapinzane wake wa kisiasa wanatumia fursa hiyo  kumchafua Mwigulu Nchemba.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment