Breaking News: Viongozi wa UKAWA Wasema Hawatashiriki Mchakato wa Kupiga Kura za Maoni

Habari zilzotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari zinaeleza kwamba Viongozi wa UKAWA wamesema hawatashiriki katika mchakato wa kupiga kura ya maoni kwa Katiba Mpya. 

Hayo yamesemwa hivi punde katika Ofisi za UKAWA zilizopop buguruni Rozana jijini Dar es salaam..Taarifa kamili zitakujia hivi punde usicheze mbali 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment