DON'T MISS
Loading...
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts

Tevez Aipeleka Juventus Robo Fainali

Mabingwa wa soka nchini Italia, Juventus FC wamefuzu kwa hatua ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kufuatia ushindi wa mabao 3-0 u...
Read More

Mayanja: Andrew Shamba Aliwabeba Yanga Kwa Makusudi

Kocha mkuu wa Kagera Sukari, Jackson Mayanga amemtupia lawama muamuzi Andrew Shamba kwa kumtaja kuwa chanzo cha kupoteza mchezo wa ligi ku...
Read More

Adam Johnson Aachwa Huru

Mshambulaiji wa pembeni kutoka nchini Uingereza Adam Johnson amerejea mazoezini baada ya uongozi wa klabu ya Sunderland kutengua adhabu ya...
Read More

Garcia: Wakinitaka Niende, Nitakwenda

Meneja wa klabu ya AS Roma, Rudi Garcia amesisitiza kuwa tayari kujiuzulu nafasi yake klabuni hapo endapo atashinikizwa na uongozi kufanya...
Read More

Adebayor: Nipo Tayari Kuwaziba Midomo Walionibeza

Mshambuliaji kutoka nchini Togo, Emmanuel Sheyi Adebayor ametuma salamu kwa wapinzani wa klabu ya Tottenham Hotspurs, kwa kusema yupo taya...
Read More

Mabingwa Wa Hispania Wachanja Mbuga Ulaya

Mabingwa wa soka nchini Hispania Atletico Madrid wamesonga mbele baada ya kufanya kazi ya ziada mbele ya Bayer 04 Leverkusen kutoka nchini...
Read More

Haji Sunday Manara Ndie Msemaji Mpya wa Simba

UONGOZI wa Simba umemtangaza mwandishi wa habari wa siku nyingi,Haji Sunday Manara kuwa msemaji mpya wa klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi...
Read More