Countinho Anusurika Kusuguria Bebchi Baada ya Kushinda

Coutinho mwenye kibwenzi akigonga na Luis Suares
Meneja wa klabu ya Liverpool Brendan Rodgers amesema alikaribia kumtoa uwanjani Philippe Coutinho kabla ya kuifunga Stoke. Mbrazili huyo alifunga bao pekee katika mchezo huo baada ya mashambulizi ya mda mrefu kutoka kila upande.

''Unapaswa kumuacha dimbani kwa kadri unavyoweza kwa sababu anastahili'' alisema Rodgers.''Ninafuraha nilimuacha acheze lakini nakiri sikujua nini kingefuata.Ilikua na bahati alipata goli na aliendelea kucheza.''

Timu hizo mbili zilikutana katika mchezo wa mwisho msimu wa 2014-2015 ambapo Stock waliondoka na ushindi mnono wa mabao 6-1.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment