Kama Hukubahatika Kupata Kuona Picha Zote za Msafara wa Lowassa Kuzuiawa Zipo Hapa Tazama Sasa



 Polisi mkoani Kilimanjaro wakiwa wameuzuia msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kupitia Chadema na anaeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa katika kijiji cha Maroro, Wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro, hii leo wakati anakwenda kuhudhuria mazishi ya Kada na Mwasisi wa Chama cha Mapinduzi CCM, mzee Peter Kisumo huko Usangi.
 Lowassa akizungumza kwa simu huku akiwa na Mbunge wa Moshi Mjini Mzee Philemon Ndesamburo.
 Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akijaribu kuzungumza na Polisi.

















Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment