Nyimbo Mpya: Mubash- Cheketua Download na Usikilize Bureee

Kama hujasikiliza wimbo wa Mubash uitwao Cheketua sasa ndio muda wako sikiliza hapa bureee na kudowload bila ya VAT.

Bonyeza Play kusikiliza interview aliyoifanya ndani ya kipindi cha Swagger terminal kikiongozwa na rubani wako Joco Da Miswager ndani ya Sbm Radio kabla ya kuitambulisha ngoma yake alipofunguka kuhusu yeye na Alikiba ukaribu wake katika ngoma hii ya cheketua





Bonyeza PLAY kusikiliza nyimbo ya Cheketua
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment