Pengo: Msimamo Wangu Uko Pale Pale

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema msimamo wake kuhusu Katiba Inayopendekezwa uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine ili waweze kutafakari maneno yake.
Muadhama aliongeza kuwa “msimamo wake na kanisa lake ni kwende kuipigia kura katiba iliyopendekezwa na sio vinginevyo kutokana na umuhimu wake”.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment