Serikali Yapiga Marufuku Wanaojitokeza Kumuumnga Mkono Edward Lowasa

Serikali kwa mara ya kwanza imetoa tamko kali kwa vikundi vinavyojitokeza kwa wanasiasa wakiwamo wale wanajitokeza kumuunga mkono Wazri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kwamba agombee urais.

Hivi karibuni makundi ya watu wakiwamo wanasiasa, viongozi wa dini, wafugaji na wanafunzi wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumuunga mkono Lowassa kwamba agombee urais.

Jambo hillo limekuwa likizua gumzo mkubwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulazimika kumweleza Lowassa asitishe makundi hayo na mwenyewe kutii agizo hilo.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Chikawe amesema kuwa makundi yanayojotokeza yanavunja sheria na kwamba yanatakiwa kuacha kufanya hivyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment