Jaji Lubuva: Nape Nnauye Angeijua Serikali Asingekurupuka Kutoa Kauli


Katika gazeti la Tanzania Daima limeandika kuwa siku moja baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye kutaka vigogo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kuachia ngazi, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, Damian Lubuva amesema Nape amekurupuka kutoa kauli hiyo kwa kuwa hajui ukweli kutoka serikalini.

"Kama Nape angeweza kuwauliza wakubwa zake, serikali na Tume ya uchaguzi nina uhakika hayo aliyoyasema asingeyasema, lakini kwakuwa hajui ukweli ndio maana amekurupuka tu na mimi siwezi kujibizana naye,"alisema.

Chanzo:Tanzania Daima
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment