Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo
vimetoa msimamo wao juu ya njama za kuahirisha Uchaguzi Mkuu unaotakiwa
kufanyika Oktoba Mwaka Huu.
Ukawa imesisitiza kwamba kuahirisha Uchaguzi Mkuu huo ni
sawa ma kumuongezea Rais Jakaya kikwete na chama chake cha Mapinduzi muda wa
kuendelea kutawala Tanzania.
Ukawa ilisema jaribio lolote la kuahirisha Uchaguzi Mkuu kwa
kisingizio chochote kile litakuwa kinyume na Katiba ya sasa ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania endelea kusoma hapo chini ………..
0 comments:
Post a Comment