Tiwa Savage Atarajia Mtoto Wa Kiume

Staa wa muziki anayefanya vizuri barani Africa, Tiwa savage ambaye kwa sasa analea ujamzito, huenda akajifungua mtoto wa kiume

Kwa mujibu wa mtandao wa Naija Gists, umeeleza kuwa rafiki wa karibu na familia ya msanii huyo amedokeza majibu ya Ultrasound.

Pamoja na ujauzito, Tiwa bado anaendelea na ziara zake za kimuziki kama kawaida, na hajathibitisha taarifa hizo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment