Breaking News: Ukawa Wasema Kuna Wasiwasi Uchaguzi Mkuu Oktoba Usiwepo Kutokana na Sababu Hizi

Uchaguzi mkuu mwaka 2015 umekuwa katika hali ya wasiwasi kutokana na mambo mbalimbali likiwamo hasa la vifaa vya BVR.

Kutokana kuwapo kwa wasi wasi huo Ukawa na wanaharakati wameeleza kuna dalili ndogo Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa sababu vifaa vya BVR kuwa vichache.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment