Ney wa Mitego Anunua Sanamu ya Shetani kwa Shilingi Milioni 5

Msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego ana mapenzi tofauti na wengine. Ndio maana alimua kuweka ndani kwake sanamu isiyo ya kawaida ni sanamu ya shetani!
Rapper huyo ameongea na Bongo5 na kusema kuwa sanamu hiyo ni moja ya vitu anavyovipenda zaidi ndani mwake.
“Mimi naipenda na niliinunua hela nyingi tu, ni dola elfu tatu,” amesema Nay.
“Nilitokea tu kuipenda, ni moja kati ya vitu muhimu ninavyovipenda ndani ya nyumba yangu. Kuna sehemu niliinunua sio Tanzania. “Mimi nilitokea kukipenda yaani naipenda sana tena sana na hata ukiingia ndani kwangu utaanza kuiona hiyo,” amesisitiza rapper huyo.
Credit: Bongo5
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment