Sikiliza Alichokisema Alikiba Baada ya Kuachia Single Yake Mpya Leo Hii...

Baada ya kufanya vizuri kwenye single yake ‘Mwana’, Ali kiba leo hii ameachia single mpya inayoitwa Chekecha Cheketua.   Sikiliza Ali...
Read More

Nyimbo Mpya: Alikiba- Chekecha Cheketua Download na Usikilize Bureee

Baada ya kufanya vizuri kwenye single yake ‘Mwana’,  Ali kiba time hii ametusogezea hii single mpya   Chekecha Cheketua  aliyoiachia leo ...
Read More

Breaking News: JWTZ Watoa Tamko Kali Baada ya Ajali ya Ndegevita Iliyotokea Mkoani Mwanza Leo..

Ndege ya Kivita moja ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiteketea kwa moto huku jitihada za kuuzima zikiendelea katika aja...
Read More

Tangazo Maalumu: Fursa Kwa Watangazaji na Waandishi wa Habari Tanzania

Super Brain Media inapenda kukutangazia nafasi ya kipekee kwa wale wote wenye uwezo wa kufanya vipindi vya Television (TV), Radiokutuletea...
Read More

Msanii Tunda Man Amethibitisha kuwa Amefanya Wimbo wa Ali Kiba Uitwao "Baby"

Msanii Tunda Man amethibitisha kuwa amefanya wimbo wa Ali Kiba na ndio unaofata baada ya video ya  Achana na mimi . Tunda Man amesema wimb...
Read More

Nyimbo Mpya: Sikiliza Hapa Remix ya Nitampata Wapi Inayomsifia Wema Sepetu na Kumponda Zari

Nafasi yako ya kusikiliza  hapa remix ya Nitampata Wapi inayomsifia Wema Sepetu
Read More

Staa Mwingine wa Bongo Fleva Aliyepata Account ya Vevo 2015

Baada ya msanii Vanessa Mdee na kundi la Navy Kenzo linaloundwa na (Aika & Nahreel) kufanikiwa kazi zao kukubalika kwenye mtandao wa ...
Read More

Paul Makonda: Tukio la Vurugu kwa Warioba Limenipa Umaarufu

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, amesema tukio la kufanyiwa fujo aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...
Read More

Breaking News: Dkt. Magufuli Aongoza Wananchi Kwenye Majaribio ya Uzinduzi wa Kivuko cha MV Dar es Salaam

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba Dkt. Magufuli amewaongoza wananchi wa Dsm kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Ch...
Read More

Mchungaji Gwajima Apewa Siku 30 Kuondoa Kanisa Lake Tanganyika Packers

Kanisa la ufufuo na uzima linaloongozwa na mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima limeamuriwa kuondoa shughuli zake katika viwanja vya Tang...
Read More

Changamoto Zaendelea Kujitokeza Uandikishaji BVR

Uandikishwaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura Mkoani Njombe nchini Tanzania leo asubuhi lilisimama kwa muda katika baadh...
Read More

Nuhu Mziwanda Aomba Radhi kwa Picha ya Ngono

Mwanamuziki Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Instagram ba...
Read More

Breaking News: Wakazi wa Ilula Mkoani Iringa Wagoma Kupokea Maiti Kutoka kwa Polisi

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Mwandishi wetu aliyopo Mkoani Iringa Anatueleza  Wakazi wa Ilula wamegoma kupokea maiti ya ma...
Read More

Wabunge wa Kanda ya Ziwa Wamekanusha Tuhuma za Kujiusisha na Mauaji ya Albino

Wabunge wa kanda ya ziwa wamekanusha tuhuma zinazohusisha wanasiasa na biashara ya viungo vya walemavu wa ngozi. Aidha wametupia lawama ...
Read More

Breaking News: Chidi Benzi Atupwa Jela Miaka Miwili kwa Makosa ya Kukutwa na Dawa za Kulevya Aina ya Heroin

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah Makwaro Maarufu kama (Chid Benzi) amehukumiwa kifungo cha miaka mw...
Read More

Zitto: Nitafanya Maamuzi Kuhusu Hatima Yangu CHADEMA Mwezi Machi, 2015

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema hatma yake kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) itajulikana katik...
Read More

Breaking news: Chenge Awasilisha Zuio Mahakama Kuu Lakuto Kuhojiwa Juu ya Miamala ya Escrow

Baraza la maadili ya utumishi wa umma limeshindwa kumuhoji    Mbunge wa bariadi Magharibi (CCM)  Mh Endrew Chenge baada kuwasilisha zuio l...
Read More

Wimbo Mpya: Mdadisi Feat Beauty Mosses - Breaking News Download na Usikilize Bureee hapa hapa

Hii kazi mpya ya msanii ya Mdadisi akimshirikisha mtoto mzuri wa kuitwa Beauty Mosses  ‘Breaking News’ ni nyimbo ambayo imegusa asilimia y...
Read More

Download na Sikiliza Hapa Wimbo wa Iyanya Ft Diamond Platnumz ‘Nakupenda’.

Msanii Diamond Platnumz ameshirikishwa na Mnigeria Iyanya kwenye wimbo wa ‘Nakupenda’ (I Love you) . Download na sikiliza hapa. 
Read More

Download na Sikiliza Wimbo Mpya wa Cyril Kamikaze ‘Nikimuona’.

Hii kazi mpya ya msanii wa kundi la wakacha Cyril Kid Kamikazi ‘Nikimuona’ Bonyeza play utaisikiliza.
Read More

Listen/Download: NEW AUDIO: Tanzania Female Artist – SIMAMA NAMI

Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na wasanii wa kike kutoka TANZANIA, wimbo huu unahusu janga la mauaji la ALBINO nchini Tanzania na duniani ...
Read More

NEW VIDEO: Belle 9 ft Joh Makini – VITAMIN Download na Utazame Bureee

Angalia hapa video mpya kutoka kwa Belle 9 akimshirikisha  Joh Makini  wimbo unaitwa “Vitamini”
Read More

New Video: PSquare Ft. Don Jazzy – Collabo Download na Utazame hapa Bureee

Angalia hapa video mpya kutoka kwa PSquare wakimshirikisha Don Jazzy wimbo unaitwa “Collabo”
Read More

NECTA Kuwasaka Wenye Vyeti Bandia

Baraza la Mitahani Tanzania (NECTA) limesema litaanza kuwasaka waajiriwa wote wanaotumia vyeti bandia katika ajira zao. Baraza hilo lim...
Read More

Chadema Yashinda kwa Kishindo Uchaguzi Serikali za Mitaa Rukwa

Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema mkoani Rukwa kimeshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, uliofanyika jana kwe...
Read More

Breaking News: Wananchi Wenye Hasira Kali Wavamia Kituo cha Polisi na Kuchoma Moto

WANANCHI wenye hasira mjini Ilula, mkoani Iringa, wamevamia kituo cha polisi na kuvunja milango kisha kuwafungulia mahabusu waliokuwemo nd...
Read More

Nape: Sijayapata Matokeo ya Serikali za Mitaa ya Sumbawanga

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeigaragaza vibaya CCM katika uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana kat...
Read More

Rais Kikwete Awafariji Wahanga wa Dhoruba Chalinze, Bagamoyo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiwasili kwa helikopta katika kata ya Chalinze wakitokea jijini Dar es Salaam  Februa...
Read More

Video:Tazama Makala ya Rais Kikwete Nchini Ufaransa Alipokuatana na Rais Hollande na Kuzindua Jengo la Ubalozi wa Tanzania

Hii ndio makala ya Rais Kikwete Nchini Ufaransa alipokuatana na Rais Hollande na Kuzindua Jengo la Ubalozi wa Tanzania januari 29, 2015
Read More

Picha: Paul Makonda Aapishwa Leo kuwa Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kinondoni

Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda (kulia) akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Mh. Said Meck Sadick leo jijini Dar.
Read More

Picha: Diamond Platumz Ataja Wasanii Kumi na Tatu Waliofanya Atamani Kufanya Muziki.

Msanii Diamond Platnumz ametaja wasanii waliomfanya atamani kuwa msanii na mwanamuziki. Walichukua nafasi kubwa kwenye ndoto zake.
Read More

Kenya ni Miongoni Mwa Nchi Kumi Zilizotajwa Kuwa Sio Salama kwa Wanawake Kutembelea Wakiwa Peke yao…

Yako mengi mazuri ya maeneo mbalimbali tunayajua, mfano ni ile list ya Majiji salama zaidi Duniani kwa kuishi, nikakuwekea na ile nyingin...
Read More

Video ya Alivyozikwa Msanii wa Bongofleva Mez B Dodoma.

Mez B alifariki Ijumaa ya February 21 2015 nyumbani kwao Dodoma baada ya kulazwa hospitali Dodoma zaidi ya mara nne toka mwishoni mwa mw...
Read More

Chadema Yaigaragaza CCM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeigaragaza vibaya CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi katika kata tat...
Read More