Breaking News: Wakazi wa Ilula Mkoani Iringa Wagoma Kupokea Maiti Kutoka kwa Polisi

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Mwandishi wetu aliyopo Mkoani Iringa Anatueleza 

Wakazi wa Ilula wamegoma kupokea maiti ya mama aliyeuwawa wakati wa mapambano kati yao na polisi kwa masharti kwanza kuachiliwa kwa waliokamatwa ambao bado wanashikiliwa na polisi, pili polisi walio sababisha mauaji hayo wakamatwe na kufikishwa mbele ya sheria .

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment