Breaking News: Dkt. Magufuli Aongoza Wananchi Kwenye Majaribio ya Uzinduzi wa Kivuko cha MV Dar es Salaam

Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba Dkt. Magufuli amewaongoza wananchi wa Dsm kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo, ambapo mamia ya wananchi walikuwa na Waziri Magufuli, wamesafiri bure kutoka Dsm kwenda Bagamoyo na kurudi.

Habari kamili na Picha zitakujia hivi punde
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment