Loawasa Atishiwa Kifo, Awafuata Wanaotajwa Kupanga Mikakati

-Taarifa za mpango zamfiki mwenyewe
-Awavaa wanaotajwa kula njama za kumuua
-Ashauriwa kuchukua tahadhari

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameshauriwa achukue tahadhari mahususi kuhusu maisha yake ambayo yameelezwa yako hatarini.

"Ilikuwa ni katika sherehe za Mapinduzi ambako mzee alianza kwanza kwa kumfuata mmoja wa watu hao wawili ambao majina yao yanatajwa kuwa katika mpango wa kudhuru maisha yake. Chanzo: Rai. Nguvu ya Hoja.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment