New Video: Jaguar - ‘Huu Mwaka’ Download na Utazame Buree

Haujapita muda mrefu tangu tumeona video ya one centimeter ya Jaguar akiwa amemshirikisha Iyanya kutoka Nigeria.

Leo nakusogezea hii nyingine kutoka kwake Jaguar video ni ya single ya ‘Huu Mwaka’ ambayo audio yake aliiachia mwezi uliopita na sasa hivi kaachia video hiyo.

Video imefanywa na Godfather kutoka Afrika Kusini, wimbo ambao una ujumbe wa kutia moyo katika safari ya maisha.

Nimeshare na wewe video hii mtu wangu, karibu uicheki hapa…


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment