Breaking News: Matokeo ya CSEE na QT 2014 Yapo hapa, Ufaulu Waongeza kwa Asilimia 12.67

Baraza la Mitihani la Taifa  hivi punde limetangaza matokeo ya kidato cha nne. Katika matokeo hayo shule 10 za sekondari binafsi zimeongoza  mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana. Pia ufaulu umeongezeka kwa asilimia 12.67 ikilinganishwa na mwaka juzi.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini (NECTA),Dk.Charles Msonde aliwaambia waandishi wa habari ofisini kwake kwamba matokeo ya kidato cha nne ya mtihani wa mwaka jana ufaulu umeongezeka kwa asilimia 12.67 ikilinganishwa na mwaka 2013.

Taarifa zinaeleza kuwa katika matokeo hayo, msichana wa Shule ya Sekondari ya Baobab, Nyakaho Marungu ndio aliyeongoza mtihani huo na kufatiwa na wavulana.

Pia, Shule za Sekondari za St.Fransis katika Mkoa wa Mbeya, wanafunzi sita na wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari ya Feza wamefanya vuzuri na kusababisha shule hizo kuingia katika 10 bora.

Msonde amesema kwamba matokeo hayo yanatokana na mfumo mpya wa GPA.
DISTINCTIONMERITCREDITPASSFAIL
GPA3.6 - 5.02.6 - 3.51.6 - 2.50.3 - 1.50.0 - 0.2

Fuatlia linki ifuatayo hapo chini kuangalia matokeo zaidi.


Matokeo ya CSEE bofya hapa


Matokeo ya QT bofya hapa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment