Jaydee: Bora Kuimba Kuliko Kuwa na Mpenzi

Mwanamuziki nyota wa kike hapa nchini Lady Jaydee amesema kuwa muziki kwake ni bora zaidi kuliko kuwa na mpenzi.


“Sijutii kabisa kufanya muziki wala sifikirii kuuacha hata ikifikia hatua ya kujiimbia mwenyewe chumbani bado nitaendelea nao maana naupenda sana, na ndio maisha yangu ni bora nisiwe na mpenzi lakini niwe na nyimbo za kuimba,” alisema nyota huyo wa kibao cha ‘Forever’.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment