Video ya Alivyozikwa Msanii wa Bongofleva Mez B Dodoma.

Mez B alifariki Ijumaa ya February 21 2015 nyumbani kwao Dodoma baada ya kulazwa hospitali Dodoma zaidi ya mara nne toka mwishoni mwa mwaka 2014, tatizo kubwa lilikua ni kifua na mgongo ambapo Jumatatu ya February 23 2015 akazikwa kwenye makaburi ya Wahanga Maili Mbili Dodoma.
Mpaka anafariki Mez B hakuwa ameoa wala hana mtoto ambapo pia amefariki siku chache kabla ya kuachia single yake mpya kwenye Radio na TV.

Marehemu Mez B ni staa wa bongofleva kutokea kundi la Chemba Squad alilojiunga nalo mwaka 2002 akiwa na wenzake kama Marehemu Ngwea, Dark Master na Noorah.
Video hii hapa chini ndio inaonyesha kwa ufupi safari yake ya mwisho ilivyokuwa Dodoma mpaka kwenye makaburi ya Maili mbili.

Credit: Ayo Tv
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment