Breaking News: MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA LIBYA / MOSQUE JIJINI DAR

moto mkubwa uliokuwa ukiendelea kuwaka kwa nguvu na kuteketeza baadhi ya mali zilizomo ndani ya jengo hilo lililopo mtaa wa Libya na Moski-Kariakoo jijini Dar.
MotoMkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba pichani iliopo mtaa wa Libya na Mosque jijini Dar es salaam na kuteketeza mali kadhaa.

Kikosi Kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio kwa sasa kikiendelea kukusanya kila kinachojiri,lakini kwa taarifa kutoka kwa mashuhuda waliopo eneo la tukio wanaeleza kuwa chanzo cha  moto huo bado hakijafahamika rasmi,Jeshi la Polisi limefika eneo la  tukio kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo huku magari ya zimamoto  nayo yakiendelea kuwasili kupambana na moto huo..
Baadhi ya Polisi kutoka Jeshi la Polisi na Kikosi cha Zimamoto vikiwasili eneo la tukio mtaa Libya na moski.

Moja ya Gari  la zimamoto likiwa limewasili eneo la tukio hivi punde.

TUTAWALETEA HABARI KAMILI NA YALIYOJIRI

 KATIKA TUKIO HILO  .


 Credit: Michuzi Blog

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment