Waziri Mkuu Asikitishwa na Kauli za Baadhi ya Watu Wanaosema Serikali Imetelekeza Viwanda vya Sukari

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda ameeleza kusikitishwa na kauli za baadhi ya watu wanaosema Serikali imetelekeza viwanda vya sukari ili kutoa fursa kwa wafanyabiashara nchini kuagiza sukari kutoka nje kwa ajili ya kujinufaisha wao na vigogo wengine serikalini.
Waziri Mkuu ameeleza hayo siku chache tangu kuenea kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa Waziri Pinda amekuwa akiwasaidia baadhi ya wafanyabiashara wa sukari kukwepa kodi na pesa hizo zimekuwa zikikusanywa na wapambe wake ili kumsaidia katika mchakato wa kugombea Urais.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment