Breaking News: Wafanyabiashara wa Maduka zaidi ya 600 Wagoma Mwanza Hivi Punde

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa mwandishi wetu aliyopo eneo ya tukio anatueleza ya kwamba

Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwa mara nyingine tena wameendelea kuonja adha ya migomo, ambapo leo hii wafanyabiashara zaid ya 600 wenye maduka makubwa na ya kati yaliyopo katika mitaa mbalimbali ya jiji hilo wameamua kufunga maduka na kusababisha hasara kwa serikali mamilion ya shilingi.

Habari kamili na picha zitakujia hivi punde usicheze mbali na mtandao wetu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment