Breaking News: Askari Polisi Wanapambana na Majambazi Wanaotumia Silaha Nzito Waliojifisha Mapangoni Amboni

 Tanga, Tanzania. Taarifa za hivi punde zinaeleza kwamba watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wanapamba na askari polisi mkoani katika eneo la mapango ya Amboni.

Kutokana kile kilichoelezwa kwamba askari polisi kuonekana kuzidiwa nguvu, askali wa jeshi la wananchi wameingilia kati na silaha za kisasa.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa wanajeshi hao wana hivi sasa wanaelekea kwenye mapango ya amboni.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment