Dr Temba ni engineer anaedesign hizo machine za air pollution system na kampuni yake ya T.E.S uzifunga. Na toka zimefungwa filter hizo tatizo la kutoa moshi mchafu liliisha na sasa kiwanda kina chapa kazi bila tatizo lolote.
Nchi yetu inawataalam wengi Diaspora lakini inakuwa vigumu kupata nafasi za kufanya kazi nchini kwetu kutokana na ukiritimba na ubokwenye wa nchi yetu wa kukumbatia na kuthamini wageni kuliko wazawa.
Hiki ndiyo kiwanda cha Wazo Hill kilichofungwa kwa sababu ya moshi mchafu unaosababisha afya ya wakazi wa eneo hilo kuumwa ugonjwa wa TB. Manager wa kiwanda bwana Alfonso kasema wameagiza filter na zinatarajiwa kuwasili mwisho wa mwezi ilikumaliza tatizo hilo la moshi mchafu.Dr Temba wa T.E.S akiwa Capital Cement San Antonio Texas akifunga machine zake.
Kiwanda cha Capital Cement San Antonio.TX kikifanya kazi baada ya T.E.S kufunga machine zake huwezi kuona moshi wowote ukitoka tena. Wazo hill wanatakiwa kupata machine hizo hili kutatua tatizo la moshi huo.
kilichofungwa kwa sababu ya moshi mchafu unaosababisha afya ya wakazi wa eneo hilo kuumwa ugonjwa wa TB.
Manager wa kiwanda bwana Alfonso kasema wameagiza filter na zinatarajiwa kuwasili mwisho wa mwezi ilikumaliza tatizo hilo la moshi mchafu.Dr Temba wa kilichofungwa kwa sababu ya moshi mchafu unaosababisha afya ya wakazi wa eneo hilo kuumwa ugonjwa wa TB.
Manager wa kiwanda bwana Alfonso kasema wameagiza filter na zinatarajiwa kuwasili mwisho wa mwezi ilikumaliza tatizo hilo la moshi mchafu.
Dr Temba wa Kiwanda cha Capital Cement San Antonio.TX kikifanya kazi baada ya T.E.S kufunga machine zake huwezi kuona moshi wowote ukitoka tena. Wazo hill wanatakiwa kupata machine hizo hili kutatua tatizo la moshi huo.
Dr Temba wa Kiwanda cha Capital Cement San Antonio.TX kikifanya kazi baada ya T.E.S kufunga machine zake huwezi kuona moshi wowote ukitoka tena. Wazo hill wanatakiwa kupata machine hizo hili kutatua tatizo la moshi huo.
0 comments:
Post a Comment