Tweet ya Fid Q kuhusu Francis Cheka kuhukumiwa miaka mitatu jela Yazua Mtazamo Tofauti Katika Mitandao ya Kijamii

Bondia maarufu Francis Cheka alihukumiwa kifungo cha miaka 3 gerezani tarehe  2 feb 2015 na adhabu ya kulipa faini ya milioni moja na laki sita baada ya kupatikana na hatiya ya kumpiga meneja aliekua amemuajiri kwenye Bar yake huko mkoani Morogoro.
Watanzania wamepokea hukumu hii kwa utofauti huku wengine wakisema lilikuwa jambo la kumalizana nyumbani na sio mahakamani, Rap Fid q ametumia twit kuandika ujumba ambao unaonekana kulenga hali iliyomkuta Francis.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment