Sikiliza Sauti: Mateso Dhidi ya Mahabusu Nchini Tanzania, Wanalalamika Kuteswa Kikatili na Kudhalilishwa Kijinsia

Safu ya Viongozi Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, ambao badhi ya wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi Tanzania Bara 
Watuhumiwa wa ugaidi walio kwenye magereza ya Dar es Salaam wanalalamika kuteswa kikatili na kudhalilishwa kijinsia wakiwa mikononi mwa vyombo vya dola wakilazimishwa kukiri makosa wanayoshitakiwa.

Katika Mbiu ya Mnyonge, Mohamed Dahman anahoji ni kwa namna gani tuhuma kama hizi zinatolewa na kunyamaziwa kimya na mamlaka husika katika wakati ambapo dunia inazungumzia utawala wa sheria na haki za binaadamu, zikiwemo za wale walio mikononi mwa vyombo vya dola!

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya PLAY hapo chini.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment