Msanii Tunda Man Amethibitisha kuwa Amefanya Wimbo wa Ali Kiba Uitwao "Baby"

Msanii Tunda Man amethibitisha kuwa amefanya wimbo wa Ali Kiba na ndio unaofata baada ya video ya Achana na mimi. Tunda Man amesema wimbo aliofanya na Ali Kiba utaitwa ‘Baby‘. Hii itakuwa mara ya pili Tunda Man anafanya kazi na Ali Kiba baada ya ‘Msambinungwa‘.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment