Staa Mwingine wa Bongo Fleva Aliyepata Account ya Vevo 2015

Baada ya msanii Vanessa Mdee na kundi la Navy Kenzo linaloundwa na (Aika & Nahreel) kufanikiwa kazi zao kukubalika kwenye mtandao wa Vevo na kupewa accountili wawe wanaweka kazi zake na kupata faida,.

Sasa good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba mtandao huo wamekubali pia kazi za muimbaji aliyewahi kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Tusker Project Fame, Elisha Hisia ambapo Feb 18 waliweka video ya single yake iitwayo Gimme a call.

Dakika chache zilizopita kupitia kwenye ukurasa wa instagram Hisia aliwahabarisha mashabiriki wake kuhusu kupewa account hiyo ya Vevo na kuandika– “Hey fam, thanks for the support so far. please keep sharing and subscribe to our new Vevo account #Goodthingscoming #bigthing.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment