Breaking News: Basi la Ngorika Lapata Ajali Eneo la Msata Lagongana Uso kwa Uso na Basi la RATCO Kusababisha Vifo

 Taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba basi la NGORIKA na RATCO yamegongana uso kwa uso eneo la Msata na kusababisha vifo kadhaa.

Mpaka sasa maiti kumi zimeshatolewa huku jitihada zaidi zikiendelea kujua kama bado wapo ambao wamo ndani ya magari hayo yaliyogongana uso kwa uso au laa.

Taarifa kamili zitakujia hivi punde 



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment