Zari Sina Tatizo na Baba wa Watoto Wangu

Mwanadada Zari amesema kuwa anampenda Diamond, na kuhusiana na mume wake Ivan aliyezaa nae watoto watatu bado wanaendelea kuwasiliana kama kawaida.
Zari ameongea kupitia mahojiano yaliyofanya na Enewz ya eatv hivi karibuni akisema kuwa yeye ni mama wa watoto watatu wa kiume, na amelaumu sana uvumi uliosambaa kuwa ana mtafaruku mkubwa na baba wa watoto wake huyo na hapa anaelezea kama ifuatavyo.

The Boss Lady pia akaamua kuweka hisia zake za wazi kwa staa wa muziki wa Bongo Diamond Platinumz baada ya tetesi zikizidi kuendelea juu ya mahusiano yao ya kimapenzi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment