Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Morogoro mjini, watafanyanya maandamano makubwa kumuunga mkono Mbunge wa Morogoro Mjini CCM Abood Aziz.
Mbunge huyo alinyimwa taarifa ya matumizi ya millioni Sh 750, zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa Stand Kuu ya mikoani Morogoro Mjini.
BAVICHA wataandamana ili kushinikiza Mbunge apewe taarifa hiyo.
Chanzo: JF.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment