Hili ndio Baraza la Mawaziri la Ukawa Endapo Wataiondoa CCM Madarakani Mwaka huu

UKAWA wameokota almasi katika mchanga wa pwani, na kwa kumpata Edward Lowassa Umoja huo wa Katiba ya Wananchi unaamini utachukua dola baada ya  Oktoba 25 mwaka huu.


Lowassa, Waziri Mkuu aliyelazimika kujiuzulu kufuatia kashfa ya kinyonyaji ya kampuni za ufuaji umeme wa dharura za Richmond na Dowans, ameshawishika kujiunga na umoja huo kupitia Chadema, hali ambayo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanasena kuna kila dalili za kuung’oa utawala msonge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho huenda baada ya Oktoba itabidi kiunde Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB).

IKIWA UPINZANI  WATAIONDOA  CCM:

Baraza la
Mawaziri
la Ukawa

*Willibrod Slaa: Waziri Mkuu
*Freeman Mbowe:Mambo ya Nje
*James Mbatia: Waziri wa Elimu
*John Mnyika: Waziri wa Fedha
*Ester Bulaya: Habari, Michezo
*Magdalena Sakaya: Jinsia,watoto
*Tundu Lissu: Katiba na Sheria
*David Kafulila:Kazi na Vijana
*Halima Mdee:Nyumba na Makazi
*Emmanuel Makaidi:Viwanda
*Peter Msigwa:Maliasili na Utalii

Habari kamili tafuta gazeti la wajibika

Credit: Wajibika
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment