Polisi nchini Ufaransa imewakamata waandishi wawili waliokuwa wakijaribu kuidanganya serikali ya Morocco.
Wanatuhumiwa kutaka kupewa kiasi cha zaidi dola milioni 3 kwa kutochapisha kitabu ambacho kulikuwa na makubaliano kuhusiana na mfalme wa nchi hiyo.
Ripoti zinasema Wamoroko waliwajulisha polisi wa Ufaransa ambao waliwakamata watu hao wawili Eric Laurent na Catherie Graciet kwa ajili ya uchunguzi.
Habarai zinasema kuwa polisi walirekodi mkutano ambao watuhumiwa hao walikuwa wakikabidhiwa sehemu ya fedha waliyokuwa wakizihitahi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment