Video: Tazama Mdahalo Huu Kutoka Kwa Mchungaji Msigwa na Humphrey Polepole Wakidadavua Ujio wa Lowassa Ndani ya Ukawa nasio Chadema

Huu ni mdahalo ambao ulikuwa unazungumzia ujio wa Waziri Mkuu aliyejiuzuru ndani ya UKAWA nasio Chadema hapa kuna watu wawili ambao walikuwa wanachambua suala hili ambapo alikuwa Humphrey Polepole na Mchungaji Msigwa.

Japokuwa mtazamo wa katiba ni tofauti jambo ambalo yeye mwenyewe anaamini kuwa katiba imechakachuliwa sasa inakuaje tena ajiunge na umoja huo huo hawapo awali alikuwa haumini na kusema Katiba pendekezwa imechakachuliwa na umoja wa wananchi wa katiba (UKAWA)

Ebu tuwasikilize wanavyosema huu ujio wa Lowassa ndani ya Ukawa nasio Chadema


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment