MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40
jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa
Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na
kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.
0 comments:
Post a Comment