Chadema Inataka Kuiondoa CCM Ikulu Nasio Ufisadi

HARAMBEE za makanisani na misikitini zilizokusanya mamilioni ya fedha hazikusaidia, wala mkakati wa shilingi bilioni 8 wa kumsafisha haukufanikiwa, lakini Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeweza kumtakasa Edward Lowassa.

Waziri mkuu huyo wa zamani, ambaye wiki tatu zilizopita alikaririwa akisema kwamba kamwe hataondoka ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), hatimaye ‘ametakasika’ baada ya kujiunga na Chadema na kupokewa ndani ya Ukawa, akitarajiwa kwamba ndiye atakuwa mgombea urais wa umoja huo Oktoba mwaka huu.

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Harold Wilson, aliwahi kusema; “A week is a long time in politics”. Yaani wiki moja ni muda mrefu kwenye siasa. Naam. Hata wiki tatu za kauli ya Lowassa kwamba asingehama CCM 
Kwa habari kamili tafuta gazeti la wajibika sasa..

Credit: Wajibika
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment