Majina ya Walioteuliwa Kugombea Ubunge CCM Yote Nimekuwekea Hapa

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina ya wagombea wa Ubunge katika majimbo pamoja na viti maalumu, huku baadhi ya wabunge wakongwe wakitupwa nje na majina mapya yakichomoza kupeperusha bendera ya CCM katika majimbo hayo. 
Katika kikao hichokilichoanza juzi na kumalizika jana mjini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, kimeteua majina hayo ya wabunge na wale wa viti maalumu, huku majimbo 10 yakirudia uchaguzi wake wa kura wa maoni kutokana na kasoro mbalimbali.
Yafuatayo ni majina kamili ya wanachama wa CCM walioteuliwa kugombea nafasi ya ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 ulipangwa kufanyika 25 Oktoba, 2015


WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA UWAKILISHI WA MAJIMBO NA VITI MAALUM KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015


NA.

MKOA

WILAYA

JIMBO

ALIYETEULIWA

1.

Arusha

Arusha Mjini

Arusha

Ndugu Philemon Mollel

Karatu

Karatu

Dkt. Wilbard  Slaa Lorri

Arumeru

Arumeru Magharibi

Ndugu Loy Thomas ole Sabaya

Arumeru Mashariki

Ndugu John Danielson Sakaya (JD)

Longido

Longido

Dkt. Stephen Lemomo Kiruswa

Monduli

Monduli

Ndugu Namelock Edward Sokoine

Ngorongoro

Ngorongoro

Ndugu William Tate ole Nasha

2.

Dar es Salaam

Ilala

Ukonga

KURA ZINARUDIWA

Ilala

Ndugu Zungu Mussa Azzan

Segerea

Ndugu Bonna Mosse Kaluwa

Temeke

Temeke

Ndugu Abasi Zuberi Mtemvu

Kigamboni

Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile

Mbagala

Ndugu Issa Ally A. Mangungu

Kinondoni

Kawe

Ndugu Kippi Ivor Warioba

Ubungo

Dkt. Didas John Masaburi

Kibamba

Dkt. Fenela E. Mkangala

Kinondoni

Ndugu Iddi Azzan

3

Dodoma

Chemba

Chemba

Ndugu Juma Selemani Nkamia

Bahi

Bahi

Ndugu Omar Ahmed Badwel

Mpwapwa

Kibakwe

Ndugu George Boniface Simbachawene

Mpwapwa

Ndugu George Malima Lubeleje

Chamwino

Mtera

Ndugu Livingstone Joseph Lusinde

Chilonwa

KURA ZINARUDIWA

Dodoma Mjini

Dodoma Mjini

Ndugu Antony Peter Mavunde

!
!


NA.

MKOA

WILAYA

JIMBO

ALIYETEULIWA



Kongwa

Kongwa

Ndugu Job Y. Ndugai



Kondoa

Kondoa Mjini

Ndugu Sanda Edwin

Kondoa  Vijijini

Dkt.  Ashatu Kijaji

4.

Geita

Geita

Geita Mjini

Ndugu Costantine John Kanyansu

Geita Vijijini

Ndugu Joseph Lwinza Kasheku

Busanda

Ndugu Lolensia Masele Bukwimba

Mbogwe

Mbogwe

Ndugu Augustino Manyanda Massele

Bukombe

Bukombe

Ndugu Doitto Mashaka Biteko

Chato

Chato

Dkt. Medard Matogolo Kalemani


Nyangwale

Ndugu Hussein Nassor Amar

5..

Iringa

Iringa Mjini

Iringa Mjini

Ndugu Mwakalebela Fredrick Wilfred

Iringa Vijijini

Isimani

Ndugu William Vangimembe Lukuvi

Kalenga

Ndugu Godfrey William Mgimwa

Kilolo

Kilolo

KURA ZINARUDIWA

Mufindi

Mufindi Kaskazini

Ndugu Mahmoud  Hassan Mgimwa

Mufindi Kusini

Ndugu Mendrad  Lutengano Kigola

Mafinga Mjini

Ndugu Cosato David Chumi

6

Kagera

Bukoba Mjini

Bukoba Mjini

Balozi Khamis Sued Kagasheki

Bukoba Vijijini

Bukoba Vijijini

Ndugu Jasson Samson Rweikiza

Biharamulo

Biharamulo

Ndugu Osca Rwegasira Mkassa

Karagwe

Karagwe

Ndugu Innocent Luugha Bashungwa

Kyerwa

Kyerwa

Ndugu Innocent Sebba Bilakwate

Muleba

Muleba Kaskazini

Ndugu Charles John Mwijage

Muleba Kusini

Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka

Misenyi

Nkenge

Ndugu Diodorus Buberwa Kamala

Ngara

Ngara

Ndugu Alex Raphael Gashaza



NA.

MKOA

WILAYA

JIMBO

ALIYETEULIWA

7.

Katavi

Mpanda

Mpanda Mjini

Ndugu Sebastian Simon Kapufi

Mpanda Vijijini

Ndugu Moshi Selemani Kakoso

Mlele

Katavi

Ndugu Issack Aloyce Kamwele

Nsimbo

Ndugu Richard Philip Mbogo

Kavuu

Dkt. Pudenciana Wilfred Kikwembe

8.

Kigoma

Kakonko

Buyungu

Eng. Christopher K. Chiza

Kibondo

Muhambwe

Eng. Atashasta Nditye

Kasulu

Kasulu Mjini

Ndugu Daniel Nsanzugwanko

Kasulu Vijijini

Ndugu Augustino Vuma Holle

Buhigwe

Manyovu

Ndugu Albert Obama Ntabaliba

Kigoma Mjini

Kigoma Mjini

Ndugu Amani Walid Kabourou

Kigoma Vijijini

Kigoma Kaskazini

Ndugu Peter Joseph Serukamba

Uvinza

Kigoma Kusini

Ndugu Hasna Sudi Mwilima

9.

Kilimanjaro

Hai

Hai

Ndugu Danstan Lucas Mallya

Siha

Ndugu Aggrey Deaidile Mwanri

Moshi Mjini

Moshi Mjini

Ndugu Mosha Davis Elisa

Mwanga

Mwanga

Profesa Jumanne A. Maghembe

Same

Same Mashiriki

Ndugu Anne Kilango Malecela

Same Magharibi

Ndugu David Mathayo David

Moshi Vijijini

Moshi Vijijini

Dkt. Cyril August Chami

Vunjo

Ndugu Innocent Melleck Shirima

Wilaya

Rombo

Ndugu Sanje Samora Colman

10.

Lindi

Ruangwa

Ruangwa

Ndugu Majaliwa Kassim Majaliwa

Liwale

Liwale

Ndugu Faith Mohamed Mitambo

Nachingwea

Nachingwea

Ndugu Hassan Elias Masala
!


NA.

MKOA

WILAYA

JIMBO

ALIYETEULIWA



Lindi Vijijini

Mtama

Ndugu Nape Moses Nnauye

Mchinga

Ndugu Said Mohamed Mtanda

Lindi Mjini

Lindi Mjini

Ndugu Hassan Seleman Kaunje

Kilwa

Kilwa Kusini

Ndugu Hasnain Gulamabas Dewji

Kilwa Kaskazini

Ndugu Murtaza Ally Mangungu

11.

Mara

Bunda

Bunda Mjini

Ndugu Steven Masatu Wasira

Mwibara

Ndugu Kangi Alphaxard Lugola

Bunda Vijijini

Ndugu Boniface Mwita Getere

Tarime

Tarime

Ndugu Christopher Ryoba Kangoye

Tarime  Mjini

Ndugu Michael Mwita Kembaki

Serengeti

Serengeti

Dkt. Steven Kebwe Kebwe

Butiama

Butiama

Ndugu Nimrod Elirehemah Mkono

Butiama Vijijini

Prof. Sospeter Mwinjarubi Muhongo

Rorya

Rorya

Ndugu Lameck Okambo Airo

Musoma Mjini

Musoma Mjini

Ndugu Vedastus Mathayo Manyinyi

12.

Manyara

Babati Mjini

Babati Mjini

Ndugu Kisyeri Chambiri

Babati Vijijini

Babati Vijijini

Ndugu Jittu Vrajilal Son

Hanang

Hanang

Dkt. Mary Michael Nagu

Kiteto

Kiteto

Litaamuliwa na Kikao Kijacho cha
Kamati Kuu

Mbulu

Mbulu Mjini

Ndugu Zacharia  Paulo Issaay

Mbulu Vijijini

Ndugu Fratei Gregory Massay

Simanjiro

Simanjiro

Ndugu Christopher Olonyhokie Ole Sendeka

13.

Mbeya

Mbeya Mjini

Mbeya Mjini

Ndugu Sambwee Shitambala Mwalyego

Mbeya Vijijini

Mbeya Vijijini

Ndugu Oran M. Njeza

Mbarali

Mbarali

Ndugu Haroon Mullah Pirmohamed

Kwa majina mengine bonyeza hapa Majina ya wabunge walioteuliwa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment