Ridhiwan Kikwete: Wagombea na Wapiga Debe Tupime Afya

Siku mbili kupita baada ya Mwenyekiti  wa Cahdema Freeman Mbowe kuugua ghafla katika maandamano ya UKAWA wakati akimsindikiza Lowassa kuchukua fomu ya Urais katika Ofisi za NEC, Mbowe alifikishwa haraka Muhimbili na Sasa anaendelea vizuri.
52
Leo katika Mtanda wa Twitter Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ametoa Pole kwa Muheshimiwa Mbowe na kuandika haya “Afya ni Muhimu kuliko jengine lolote. Pole sana Mwenyekiti kwa kuumwa ghafla. Wagombea na wapiga debe tupime afya.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment