Ngasa Asaini Mkataba na Timu ya Free State Miaka 4 na Hichi Ndio Alichokisema

Hatimaye ndoto za mshambuliaji wa Yanga na Timu ya Taifa Stars, Mrisho Ngasa kucheza soka la kulipwa zimetimia baada ya jana kusaini mkataba wa miaka minne wa kuitumikia timu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii kwa njia ya simu kutoka jijini Johannersburg, Ngasa alisema kuwa amefurahi kuona ndoto zake za kucheza soka la kulipwa zimetimia mwaka huu.

Ngasa alisema anawashukuru wakala wake (Jina tyunalihifadhi) kwa kufaniukisha usajili wake katika timu hiyo inayoshiriki Ligi kuu ya Afrika Kusini na inayonolewa na Mmalawi, Kinnah Phiri.

"Nashukuru Mungu nimefungua maisha mapya katika soka, nimepata mkataba wa miaka minne, nitafanya kazi kwa juhudi na kuheshimu wachezaji wenzangu niliowakuta," Alisema Ngasa.

Hata hivyo Ngasa hakuwa tayari kutaja dau ambalo Free State Stars wamempa na kueleza kuwa ameikubali ofa aliyopewa



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment