Manny Pacquiao Ajiandaa Kufanyiwa Upasuaji wa Bega

Bondia Manny Pacquiao atakuwa nje ya ulingo kwa kipindi cha mwaka wakati akijiandaa kufanyiwa upasuaji wa bega.
Mfilipino huyo ambaye alipigwa na bondia Floyd Mayweather katika “Pambano la Karne” lakini baadae alidhihirisha kuwa alikuwa akisumbuliwa na maumivu ya bega wakati wa mazoezi.
Pacquaio alitakiwa akichomwa sindano za kuondoa maumivu wakati akijiandaa lakini alikataliwa kuchomwa na Kamati ya Michezo ya Jimbo la Nevada.
Skana ya MRI imeonyesha kiasi cha majeraha hayo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment