Sikiliza Alichokisema Lowassa: Sihusiki na Richmond, Ilitungwa Kunichafua. Sitohama CCM!

Waziri Mkuu aliejiuzulu Edward Lowassa atoa ukweli uliofichika dhidi yake kwa kipindi kirefu dhidi ya sakata la RICHMOND nakusema kwamba Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu hata kamati ya Mwakyembe haikuona sababu ya kumhoji.

Amesisitiza kuwa cheo cha uwaziri mkuu ndio ilikuwa lengo la kamati ya mwakyembe na spika wa bunge kipindi hicho Samwel Sitta, hicho sio kikwazo kwake katika kuingia Ikulu kwani sakata la Richmond lilipikwa kumchafua. 

Ameyasema hayo leo nyumbani kwake mjini Dodoma katika mkutano mfupi na waandishi wa habari

 Sikiliza Mwenyewe Alichokisema Bonyeza PLAY kusikiliza 







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment