Mfalme wa Jukwaa Alikiba Anusurika Kuuliwa na Majambazi

Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi.
Inasemekana kuwa watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti na walifanikiwa kuvunja mlango wa nyumba yake na kuingia ndani ambapo waliwadhuru baadhi ya ndugu zake na kuiba kila kitu ambacho waliweza kubeba.
Hata hivyo lengo lao walikuwa wanamtafuta msanii huyo lakini hawakufanikiwa kumpata.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment