Lissu Awavuruga Wabunge CCM, Asema Serikali Imeshindwa Kutoka Fedha za Tume ya Uchaguzi

Dodoma, Tanzania. Kwanini tume haijapewa fedha. Katiba yetu hakuna mahali popote inapoeleza kuharisha uchaguzi. Haiwezekani. Kwanini Watanzania mpaka leo hawajaandikishwa.

Walioshindwa kuendesha kura za maoni, tuliwaeleza kwamba hawawezi kuendesha kura ya maoni. Walipotisha kura ya maoni kwa kuwandikisha marehemu. Ni wakati wa kuondoka madarakani mwaka huu.

Anaingia Waziri anasema kuwa hakuna marehemu waliopiga kura. Kura zile zilihesabiwa. Namuomba Mheshimiwa Lissu asipoteshe umma.

Lissu ananyanyuka nasema Waziri aka echini ‘anatoa hotuba au anaomba nini’ afuate utaratibu. Waziri na Lissu ameamriwa kukaa chini.

Anasimama na kusema kuwa Serikali ya CCM si ya wachovu. Nataka kumuambia kuwa CCM inajenga barabara, miradi ya maji. Lissu asiendeleee kulidanganya bunge.

Serikali ya wachovu imeshindwa kutoa fedha kwa Tume ya Uchaguzi, Serikali ya wachovu inawaletea shida wananchi katika operesheni ya ujangili.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment